Juliani wa Ankara

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Juliani wa Ankara (alifariki Ankara, leo nchini Uturuki, 320 hivi) alikuwa padri aliyeuawa wakati wa dhuluma ya kaisari Licinius[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 13 Septemba.[2]

Tazama pia

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads