Julio Alvarez
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Julio Alvarez (jina kamili kwa Kihispania Julio Álvarez Mendoza; Guadalajara, Jalisco, Mexico, 20 Desemba 1866 - San Julian, Mexico, 30 Machi 1927) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki nchini Meksiko hadi alipouawa bila kesi wakati wa Vita vya Wakristero[1]. Hivyo alishuhudia uaminifu wake kwa Kristo na kwa Kanisa lake.

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 22 Novemba 1992 halafu mtakatifu mfiadini tarehe 21 Mei 2000 pamoja na wenzake 24 waliofia dini katika vita hivyo[2]:
Sikukuu yao inaadhimishwa kila tarehe 21 Mei ila ya kwake mwenyewe ni tarehe ya kifodini chake[3].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads
