Juneau, Alaska
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Juneau ni mji mkuu wa Alaska (jimbo la Marekani). Mwaka 2000 mji ulikuwa na wakazi 30,711. Mji upo m 17 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Juneau iliundwa 1881 kutokana na kambi la wachimba dhahabu. Jina la mji latunza kumbukumbu la Joe Juneau aliyekuwa kati ya watu waliogundua dhahabu hapa.
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Juneau, Alaska kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads