Kapa (pwani)

From Wikipedia, the free encyclopedia

Kapa (pwani)
Remove ads

Kapa au wangwa (wengi: nyangwa) ni msitu unaokua katika maji ya chumvi kwenye fuko za bahari za kanda za tropiki na nusutropiki (kati ya latitudo za 25º kaskazini na 25º kusini). Jumla ya maeneo ya kapa duniani kote ilikuwa km² 137,800 (maili za mradi 53,190) katika nchi na maeneo 118 mwaka 2000[1][2].

Thumb
Kapa nchini Panama

Miti inayokua ndani ya nyangwa, kama mikoko na mikandaa, inaweza kumudu maji yenye chumvi nyingi. Na mizizi yao inaunda matawi yanayomea juu ya matope na kupumua hewa, kwa sababu matope hayana oksijeni ya kutosha. Spishi nyingine zinabebwa juu ya mizizi kama magongo.

Spishi za miti ya kapa zinazotokea Afrika ya Mashariki ni:

Remove ads

Picha

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads