Karanogi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Karanoki (pia: Carannog, Cairnech, Carnech, Karanteg, Carantocus, Carantoc, Carantock; aliishi karne ya 6) alikuwa mmonaki halafu abati wa Britania anayetajwa kama mwanzilishi wa monasteri[1][2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads
