Kasto na Emilio
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Kasto na Emilio (walifia dini katika Tunisia ya leo, 250 hivi) walikuwa Wakristo ambao waliuawa kwa kuchomwa moto.
Habari zao ziliandikwa na askofu Sipriani wa Karthago akieleza kwamba mara ya kwanza walishindwa na hofu, lakini hatimaye Mungu aliwaimarisha wawe na nguvu kuliko miali ya moto [1].
Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads