Kemia ya fizikia
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Kemia ya fizikia (kwa Kiingereza: physical chemistry) ni tawi la kemia ambalo linashughulikia kuchunguza tabia za kifizikia za dutu, k.mf. shinikizo, ujazo, joto la gesi fulani.

Msamiati "physical chemistry" ulitungwa na Mikhail Lomonosov mwaka 1752, alipotoa kozi iliyoitwa "A Course in True Physical Chemistry" (Russian: «Курс истинной физической химии») kwa wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Petersburg.[1]
Remove ads
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads