Kibaha (mji)
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Kibaha ni mji nchini Tanzania ambao ni makao makuu ya Mkoa wa Pwani yenye postikodi namba 61100. Tangu kuwa na halmashauri yake ni Wilaya ya Kibaha Mjini, tofauti na Wilaya ya Kibaha Vijijini.[1]

Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, eneo la Mji wa Kibaha lilikuwa na wakazi wapatao 128,488 [2] walioishi humo. Katika sensa ya mwaka 2022 walihesabiwa 265,360 [3].
Wilaya ya Kibaha Mjini ina eneo la kilomita za mraba lililogawiwa kwa kata 11.
Remove ads
Historia
Asili ya wakazi wa Kibaha ni kabila la Wazaramo. Kijiji na baadaye mji ulikua kutokana na mahali pake kwenye barabara kuu kati ya Dar es Salaam na Morogoro ukateuliwa kuwa makao makuu ya mkoa.
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads