Kimbiji
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Kimbiji ni kata ya Wilaya ya Kigamboni katika Mkoa wa Dar es Salaam, Tanzania, yenye postikodi namba 17101.
Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 10,729 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ilikuwa na wakazi wapatao 3,673 waishio humo.[2]
Kimbiji ina mitaa 6: Golani, Kwa Chale, Mikenge, Ngobanya, Kizito Huonjwa na Kijaka.
Remove ads
Historia
Kulikuwa mahali pa makazi ya Waswahili wa kale katika pwani ya Bahari ya Hindi.
Tazama pia
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads