Kituo cha reli Vienna Meidling

From Wikipedia, the free encyclopedia

Kituo cha reli Vienna Meidling
Remove ads

Kituo cha reli Vienna Meidling Kijerumani: Bahnhof Wien Meidling, ni kituo moja kwa nne ya usafiri wa umma wa masafa marefu ya mji wa Vienna, mji mkuu mwa Austria.

Thumb
Jukwaani 5/6
Thumb
Kuingia ya kituo cha Vienna Meidling kwenye rail kutokea magharibi
Thumb
Kuingia kutoka barabarani wa Meidling na kituo cha treni za barabarani inaitawa Bahnhof Meidling
Thumb
Vituo vya treni za barabarani na cha basi la mjini Bahnhof Meidling

Ipo kata ya 12 (Meidling), kando ya barabara wa Meidling.

Kuna huduma za treni za masafa marefu ya Raijet, Nightjet, EuroCity Regiojet na Intercityexpress.

Kuna huduma za treni za mkoani REX R na CJX na treni za mkoani (S-Bahn) pia.

Treni zinasafiriwa taifa na kimataifa pia (nchi Hungaria, Slovakia, Uswisi, Uholanzi, Ujerumani, Ubelgiji, Serbia, Italia.

Kuna huduma za usafiri wa mjini wa treni za mjini (U-Bahn), mstari wa U6 (rangi ya kahawia) Floridsdorf - Siebenhirten, treni za barabarani, mstari wa 62, basi la mjiji na treni za mkoa Vienna - Baden (Kijerumani: Lokalbahn Wien - Baden) (inaendeshwa kama treni za barabarani kutoka Karlsplatz mpaka Schedifkaplatz, kuanzia hapo mpaka Baden mpaka Josefplatz Baden kama treni za mkoani).

Kuanzia mwaka 2012, huduma za treni za masafa marefu ya Austrian Federal Railways (Raijet, Nightjet na EuroCity) imefungwa vituoni cha magharibi na Hütteldorf, treni zote za masafa marefu ya OEBB wanatumia vituo cha Meidling na kituo kikuu tu.

Karibu na kituo cha Meidling ni barabara ya Meidling, Schedifkaplatz na makaburini cha Meidling.

Ndani za kituoni kuna chumba cha kusubiri, benchi, ofisini ya tiketi na ofisini ya usafiri, lokeri na maduka.

Kituo inamilikiwa na Austrian Federal Railways (OEBB).

Pia kuna fasiliti ya Bike and Ride na ya Kiss and Ride.

Remove ads

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads