Kitwitwi

From Wikipedia, the free encyclopedia

Kitwitwi
Remove ads

Vitwitwi ni ndege wa nusufamilia ya Charadriinae katika familia Charadriidae. Spishi hizi ni ndogo kuliko zile za nusufamilia ya Vanellinae. Huonekana sana kando ya maji, lakini spishi nyingine huonekana pia mbugani au mashambani. Hutaga mayai yao ardhini, mara nyingi kwa pwani ya mbwe au mahali pengine penye mbwe. Hula wadudu, gegereka na nyungunyungu.

Maelezo zaidi Uainishaji wa kisayansi, Ngazi za chini ...
Remove ads

Spishi za Afrika

Remove ads

Spishi za mabara mengine

Remove ads

Picha

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads