Kiurdu
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Kiurdu (pia hujulikana kama Lashkari imeandikwa لشکری[1]) ni aina ya lugha ya Kihindi iliyosanifiwa.

Ndiyo lugha rasmi ya Pakistan na ya majimbo 6 ya India (katika nchi hiyo ni mojawapo kati ya 22 zinazokubaliwa na katiba).
Kwa kawaida kinaandikwa kwa alfabeti ya Kiarabu kutokana na uhusiano wake na dini ya Uislamu.
Wanaokitumia kama lugha mama ni watu milioni 65.
Remove ads
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads