Koumra ni mji uliopo katika mkoa wa Mandoul nchini Chad. Mwaka 2009 idadi ya watu ilikadiriwa kuwa 41,248 [1]. Tazama pia Orodha ya miji ya Chad TanbihiLoading content...Loading related searches...Wikiwand - on Seamless Wikipedia browsing. On steroids.Remove ads