Kukufas
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Kukufas (pia: Qaqophas[1] au Cugat; 269- 304) alikuwa shemasi (kutoka Scillium, leo nchini Tunisia) aliyekwenda kuinjilisha eneo la Barcelona akauawa kwa kukatwa shingo huko Sant Cugat del Valles (leo nchini Hispania) wakati wa dhuluma ya kaisari Diokletian wa Dola la Roma[2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini pamoja na wengine wengi waliouawa huko katika dhuluma hiyo [3].
Remove ads
Picha
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads