Kunibati
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Kunibati (pia: Kunibert, Cunibert, Cunipert; kwenye mto Moselle, kati ya Ufaransa na Ujerumani, 590 hivi; Cologne, leo nchini Ujerumani, 663 hivi) alikuwa shemasi mkuu wa Trier[1], halafu askofu wa 9 wa Cologne kuanzia mwaka 623[2] .

Alifufua Ukristo katika jimbo lake baada ya vurugu za uvamizi wa Wapagani, pamoja na kusaidia watawala wa nchi[3][4].
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 12 Novemba[5].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads