Kwarara

Nusufamilia ya ndege wakubwa wa maji ambao madomo yao yamepindika From Wikipedia, the free encyclopedia

Kwarara
Remove ads

Kwarara ni ndege wa nusufamilia Threskiornithinae katika familia Threskiornithidae ambao wana miguu mirefu. Domo refu lao limepindika na hutumika kwa kutafuta chakula ndani ya matope. Spishi nyingi za kwarara huweka matago yao juu ya miti, kwa kawaida pamoja na yange, koikoi au domomwiko. Jike huyataga mayai 2-4.

Maelezo zaidi Uainishaji wa kisayansi, Ngazi za chini ...
Remove ads

Spishi za Afrika

Remove ads

Spishi za mabara mengine

Remove ads

Picha

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads