Lamberti wa Lyon

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Lamberti wa Lyon (Therouanne, 625 - Lyon, 685 hivi) alikuwa askofu mkuu wa mji huo, leo nchini Ufaransa, tangu mwaka 678. Kabla ya hapo alikuwa mmonaki na hatimaye abati wa Fontenelle [1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 14 Aprili[2].

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads