Landeriki wa Paris
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Landeriki wa Paris (kwa Kifaransa: Landry; alifariki Paris, Ufaransa, 656 hivi) alikuwa askofu wa ishirini na nane wa mji huo kuanzia mwaka 650 hadi kifo chake.

Ili kusaidia fukara wakati wa njaa aliuza hata vyombo vya ibada[1] na kujenga hospitali[2] karibu na kanisa kuu[3].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo ya Kiswahili
Marejeo ya lugha nyingine
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads