Lang Yangzhi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Lang Yangzhi (Lu, 1871 hivi - Lujiapo, 16 Julai 1900) alikuwa mwanamke mkatekumeni wa China aliyefia Ukristo wakati wa Uasi wa Mabondia pamoja na mtoto wake pekee, Paulo Lang Fu.

Kwa kuwa alijitambulishwa kama Mkristo, nyumba yake ilichomwa moto wao wakiwa ndani [1].
Papa Yohane Paulo II alimtangaza mtakatifu pamoja na wengine 119 tarehe 1 Oktoba 2000.
Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 9 Julai, lakini ya kwake mwenyewe ni tarehe ya kifodini chake[2].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads