Paulo Lang Fu
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Paulo Lang Fu (Lu, 1893 hivi - Lujiapo, 16 Julai 1900) alikuwa mtoto wa China aliyefia Ukristo wakati wa Uasi wa Mabondia pamoja na mama yake Lang Yangzhi.

Kwa kuwa huyo alijitambulishwa kama Mkristo, nyumba yao ilichomwa moto wao wakiwa ndani [1].
Papa Yohane Paulo II alimtangaza mtakatifu pamoja na wengine 119 tarehe 1 Oktoba 2000.
Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 9 Julai lakini ya kwake mwenyewe ni tarehe ya kifodini chake[2].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads