Launomaro
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Launomaro (pia: Lomer, Laumer, Laudomarus, Launomar; alifariki 593) alikuwa mmonaki anayetajwa kama abati wa monasteri ya Corbion, aliyoianzisha upwekeni huko Perche, leo nchini Ufaransa.[1][2][3].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 19 Januari[4].
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads