Leave Me Alone

From Wikipedia, the free encyclopedia

Leave Me Alone
Remove ads

"Leave Me Alone" kilikuwa kibao cha nane kutolewa katika albamu ya msanii wa rekodi ya muziki Michael Jackson. Kibao hiki kinatoka katika albamu yake ya saba ya mwaka wa 1987, Bad. Kibao hiki kinaonekana katika toleo la CD la albamu kikiwa kama wimbo wa ziada kwenye albamu[1] na wala hakikutolewa kama single kwa nchini Marekani. Kibao hiki kiliwekwa kama moja ya sehemu ya filamu ya Jackson ya 1988 Moonwalker na kushika nafasi ya 1 nchini UK New Musical Express. Kibao hiki kilikuja kutolewa tena upya mnamo tar. 17 Aprili 2006 kikiwa kama moja ya sehemu ya seti ya Visionary: The Video Singles.

Ukweli wa haraka Imetolewa, Muundo ...
Remove ads

Orodha ya nyimbo

Toleo Halisi

7" Single
  1. "Leave Me Alone" – 4:40
  2. "Human Nature" – 4:05
12" Single
  1. "Leave Me Alone" – 4:40
  2. "Human Nature" – 4:05
  3. "Don't Stop 'Til You Get Enough" – 6:04

Toleo la Visionary

Upande wa CD
  1. "Leave Me Alone" (toleo la albamu) - 4:40
  2. "Another Part of Me" (Meongozwa Urefu na Kumixiwa) - 6:18
Upande wa DVD
  1. "Leave Me Alone" (muziki wa video)

Michakaliko yake kwenye chati

Maelezo zaidi Chati (1989), Nafasi iliyoshika ...
Remove ads

Marejeo

Viungo vya Nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads