Liberian Girl
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
"Liberian Girl" kilikuwa kibao cha tisa na cha mwisho kutolewa na Michael Jackson kutoka katika albamu yake ya mwaka wa 1987 ya Bad. Kibao kimetungwa na Michael na kutayarishwa na Quincy Jones. Kibao hiki Jackson alikitunga kwa ajili ya marafiki zake wa karibu, Elizabeth Taylor (Msichana wa Kiliberia).
Remove ads
Michakaliko yake katika chati
Muziki wa video
Muziki wa video wa Liberian Girl umeongozwa na Jim Yukich, video yake imeshirikisha watu mashuhuri wengi sana ambao ni marafiki wa Jackson, ambao wanaonekana kusubiri kupigwa wa video ya wimbo wa "Liberian Girl". Baadaye ikagundulika kwamba yeye ndiye aliyekuwa akiwachukua luningani wote wale. [3] Kama jinsi ilivyotajwa kule mwishoni mwa wimbo, waliopata kuonekana ni pamoja na:
Beverly Johnson
- Malcolm-Jamal Warner
- Sherman Hemsley
- Brigitte Nielsen
- Paula Abdul
- Carl Weathers
- Whoopi Goldberg
- Quincy Jones
- Jackie Collins
- Amy Irving
- Jasmine Guy
- Rosanna Arquette
- Lou Diamond Phillips
- Olivia Newton-John
- John Travolta
- Diahann Carroll
- Vic Damone
- Corey Feldman
- Steven Spielberg
- Debbie Gibson
- Rick Schroder
- Blair Underwood
- "Weird Al" Yankovic
- Bubbles
- Suzanne Somers
- Lou Ferrigno
- Don King and "Son"
- Mayim Bialik
- Virginia Madsen
- David Copperfield
- Billy Dee Williams
- Richard and Emily Dreyfuss
- Danny Glover
- Olivia Hussey
- Dan Aykroyd
- Steve Guttenberg
Remove ads
Waliosampo
Wimbo umewahi kutumiwa baadhi ya vipengele kwenye nyimbo ya 2Pac ya "Letter 2 My Unborn" na "The Thug in Me" (Toleo Halisi), MC Lyte kwenye "Keep on Keepin' On", Jennifer Lopez kwenye "If You Had My Love" (Dark Child Master Mix), Roi Heenok kwenye "La coka coka" na Mac Dre kwenye "Black Buck Rogers".
Marejeo
Viungo vya Nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads