Libori
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Libori (mwanzoni mwa karne ya 4 - Le Mans, leo nchini Ufaransa, 397 hivi) alikuwa askofu wa 4 wa mji huo kwa miaka 49 kuanzia mwaka 348[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads