Linus Torvalds

From Wikipedia, the free encyclopedia

Linus Torvalds
Remove ads

Linus Benedict Torvalds (alizaliwa 28 Desemba, 1969) ni mhandisi wa programu wa Marekani ambaye kihistoria ndiye muundaji mkuu wa Linux kernel, inayotumiwa na aina mbalimbali za Linux na mifumo mingine ya uendeshaji kama vile Android

Thumb
Linus Torvalds mnamo 2018

Alitunukiwa, pamoja na Shinya Yamanaka tuzo ya Teknolojia mnamo 2012 na Chuo cha Teknolojia cha Finland "kwa kutambua uundaji wake wa mfumo mpya wa uendeshaji katika kompyuta zinazoongozwa na Linux kernel ."[1] Pia ndiye mpokeaji wa tuzo ya Computer Society Computer Pioneer Award mnamo mwaka 2014 [2] na tuzo ya IEEE Masaru Ibuka Consumer Electronics Award mnamo 2018.[3]

Remove ads

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads