Litori wa Tours
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Litori wa Tours (pia: Litorius, Litoire, Lidoire; alifariki Tours, leo nchini Ufaransa, 13 Septemba 371 BK) alikuwa askofu wa pili wa mji huo alipokuta Wakristo lakini ndiye wa kwanza kujenga kanisa ndani yake [1].
Gregori wa Tours aliandika kwamba baada ya Grasyano askofu wa pili aliitwa Litori na kudumu miaka 33, mpaka alipofika Martino wa Tours mwaka 371 [2].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads