Longa, Angola

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Longa, Angola ni mji uliopo kusini mashariki mwa nchi ya Angola katika mkoa wa Cuando Cubango.

Mwaka 2009 idadi ya wakazi ilikuwa 3,403[1].

Tazama pia

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads