Lubango

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Lubango ni mji uliopo kusini mwa nchi ya Angola katika mkoa wa Huíla. Ndio makao makuu ya mkoa huo.

Mwaka 2009 idadi ya wakazi ilikuwa 250,921[1].

Tazama pia

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads