Luka Alonso
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Luka Alonso Gorda, O.P. (Carracedo de Vidriales, 18 Oktoba 1594 - Nagasaki, 19 Oktoba 1633) alikuwa padri kutoka Hispania aliyefanya umisionari miaka mitano katika Ufilipino halafu miaka kumi nchini Japani ambapo akawa mmojawapo kati ya Wakristo wa Kanisa Katoliki waliofia dini [1].

Anaheshimiwa kama mtakatifu pamoja na Lorenzo Ruiz na wenzao waliotangazwa na Papa Yohane Paulo II kuwa wenye heri tarehe 18 Februari 1981 halafu watakatifu tarehe 18 Oktoba 1987.
Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 28 Septemba, lakini ya kwake mwenyewe tarehe ya kifodini chake[2].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads