Lulo wa Mainz
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Lulo wa Mainz (Wessex, Uingereza, 710[1] - Hersfeld, Ujerumani, 16 Oktoba 786 hivi) alikuwa mmonaki Mbenedikto aliyehamia Ulaya bara kama mmisionari kwa kumfuata Bonifas mfiadini. Huyo alimpa uaskofu ili awe kiongozi kwa mapadri, mwalimu wa kanuni kwa wamonaki na mhubiri na mchungaji mwaminifu kwa Taifa la Mungu. Hatimaye akawa askofu mkuu wa Mainz baada yake [2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads