Linksi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Linksi (kutoka Kigir. λυνξ na Kilat. lynx) ni jenasi ya paka pori wa Amerika ya Kaskazini, Asia na Ulaya.
Remove ads
Spishi
- Lynx canadensis, Linksi wa Kanada (Canada lynx)
- Lynx lynx, Linksi wa Ulaya (Eurasian lynx)
- Lynx pardinus, Linksi wa Hispania (Iberian lynx)
- Lynx rufus, Linksi-nyika (Bobcat)
Spishi ya kabla ya historia
- Lynx issiodorensis (Issoire lynx, Pleistocene ya Ulaya)
Picha
- Linksi wa Kanada
- Linksi wa Hispania
- Linksi-nyika
![]() |
Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Linksi kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads