Markelmo
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Markelmo (pia: Markulf; alifariki Deventer, Frisia, leo nchini Uholanzi, 762 hivi) alikuwa mmonaki Mbenedikto tena padri kutoka Northumbria (Uingereza).
Alipata maarufu kwa umisionari wake alioufanya na Lebuini wa Deventer chini ya mlezi wake wa tangu ujanani Wilibrodi[1][2].
Anaheshimiwa tangu zamani kama mtakatifu.
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads