Mael Ruain
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mael Ruain (pia: Maelruain, Maolruain, Maelruan, Molruan na Melruain; alifariki nchini Ireland, 792) alikuwa askofu na abati wa monasteri aliyoianzisha huko Tallaght.
Alijitahidi sana kurekebisha liturujia, heshima kwa watakatifu na nidhamu za kimonaki[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waanglikana kama mtakatifu.
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Marejeo mengine
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads