Mael Ruba
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mael Ruba (pia: Máelrubai, Maol Rubha, MoRubha, MaRuibhe, Malruibhe, Rufus; Bangor, Ireland, 642 hivi - Teampull, Sutherland, Uskoti, 722) alikuwa mmonaki huko Bangor, akawa mwanzilishi wa monasteri wa wamisionari katika nchi ya Uskoti (671) aliyoiinjilisha kwa miaka 50[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waanglikana kama mtakatifu.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads