Makanisi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Makanisi (jina kamili kwa Kieire: Mac Nisse; pia: Mac Nissi, Macnise, Macnissi, Macanisius, Macnisius; karne ya 5 - 514) alikuwa mmonaki wa Ireland aliyepata kuwa Askofu na abati mwanzilishi wa Connor [1][2].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu, hasa tarehe 3 Septemba, sikukuu yake[3]. Papa Leo XIII alithibitisha heshima hiyo tarehe 19 Juni 1902 [4].
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads