Mamerto

From Wikipedia, the free encyclopedia

Mamerto
Remove ads

Mamerto (alifariki Vienne, leo nchini Ufaransa, 475 hivi) alikuwa askofu wa mji huo[1] kuanzia mwaka 462 hivi.

Thumb
Mt. Mamerto akiongoza maandamano ya sala yaliyompatia umaarufu.

Katika kukabiliana na maafa ya kijamii, alianzisha siku tatu za kusali kwa fahari litania ili kujiandaa kwa sherehe ya Kupaa Bwana [2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 11 Mei[3].

Remove ads

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads