Maria Qi Yu

From Wikipedia, the free encyclopedia

Maria Qi Yu
Remove ads

Maria Qi Yu (Daji, 1885 hivi - Wangla, 28 Juni 1900) alikuwa bikira wa China aliyefia Ukristo wakati wa Uasi wa Waboksa pamoja na Lusia Wang Cheng, Maria Fan Kun na Maria Zheng Xu. Kisha kulelewa katika kituo cha mayatima, walichomwa kwa upanga huku wakishikana mikono kuelekea kifodini na wakifurahi kama kwa kwenda kuolewa[1].

Thumb
Wafiadini Wakatoliki wa China.

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mtakatifu pamoja na wengine 119 tarehe 1 Oktoba 2000.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 9 Julai, lakini ya kwake mwenyewe tarehe ya kifodini chake[2].

Remove ads

Tazama pia

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads