Marko na Musiani
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Marko na Musiani (walifariki Mesia, kati ya Bulgaria na Romania za leo, 305 hivi) walikuwa Wakristo wa Dola la Roma waliokatwa kichwa kwa kukataa kutoa sadaka kwa miungu na kukiri imani yao [1].
Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini .
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads