Mashonaland Magharibi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mashonaland Magharibi ni mkoa wa Zimbabwe upande wa kaskazini wa nchi.
Una eneo la kilometa mraba 57,441 na wakazi 1,894,000 (2022)[1].
Makao makuu yako Chinhoyi.
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads