Chinhoyi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Chinhoyi ni mji wa Zimbabwe, makao makuu ya mkoa wa Mashonaland Magharibi.
Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa kuwa 91,000[1].
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads