Masta Killa
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Elgin Turner (amezaliwa tar. 8 Agosti 1969) ni msanii wa muziki wa hip hop kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Masta Killa. Huyu ni mmoja kati ya wanaounda kundi zima la muziki wa hip hop la Wu-Tang Clan. Japokuwa yeye ni miongoni mwa wanachama ambao wanajulikana kidogo sana kundini (amepata kushirkishwa kwenye wimbo mmoja tu wa katika albamu yao ya kwanza ya mwaka wa 1993, Enter the Wu-Tang (36 Chambers)), kwa kufuatia kuwekwa kando kwenye matayarisha kibao ya albamu, amepata kushiriki kwenye kazi za albamu za kundi na za kujitegemea tangu katikati mwa miaka ya 1990, na kuweza kutoa albamu yake ya kwanza kunako mwaka wa 2004, No Said Date, na kupata tathmini nzuri na waainishaji wa muziki.
Remove ads
Diskografia
Marejeo
Viungo vya Nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads