Mathayo Kohioye

From Wikipedia, the free encyclopedia

Mathayo Kohioye
Remove ads

Mathayo Kohioye, O.P. (Kyoto, 1615 - Nagasaki, 19 Oktoba 1633) alikuwa bradha kijana kutoka Japani na mmojawapo kati ya Wakristo wa Kanisa Katoliki waliofia dini nchini humo[1].

Thumb
Mchoro wa Kijapani ukiwaonyesha Wafiadini wa Nagasaki, karne ya 16 na ya 17.

Anaheshimiwa kama mtakatifu pamoja na Lorenzo Ruiz na wenzao waliotangazwa na Papa Yohane Paulo II kuwa wenye heri tarehe 18 Februari 1981 halafu watakatifu tarehe 18 Oktoba 1987.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 28 Septemba, lakini ya kwake mwenyewe tarehe ya kifodini chake[2].

Remove ads

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads