Matia Marko
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Matia Marko, O. de M. (alifia dini Tunisi, 1293) alikuwa mtawa wa Kanisa Katoliki kutoka Toulouse, Ufaransa, ambaye alikwenda Tunisia pamoja na Antonio Vallesio ili kuhubiri Injili, lakini alikamatwa na kuuawa kwa kurushwa chini kutoka gengeni kwa ajili ya imani yake [1].
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads