Menongue

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Menongue ni mji uliopo kusini mashariki mwa nchi ya Angola katika mkoa wa Cuando Cubango. Ndio makao makuu ya mkoa huo.

Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa 320,914[1].

Tazama pia

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads