Metrofane wa Bizanti

From Wikipedia, the free encyclopedia

Metrofane wa Bizanti
Remove ads

Metrofane wa Bizanti (alifariki 326) alikuwa askofu wa Bizanti, baadaye Konstantinopoli, leo Istanbul nchini Uturuki, kuanzia mwaka 306 hadi 314 [1].

Thumb
Metrofane wa Bizanti

Ndiye aliyeweka wakfu kwa Bwana mji huo ulioitwa pia Roma Mpya.

Anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi tangu kale kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 4 Juni[2].

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads