Mirokle
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mirokle (karne ya 3 - karne ya 4) alikuwa Askofu wa Milano, Italia Kaskazini wakati wa kaisari Konstantino Mkuu kutoa Hati ya Milano ili kuruhusu Ukristo katika Dola la Roma.

Ambrosi alimtaja kati ya watangulizi wake waaminifu [1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 30 Novemba[2].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads