Mkoa wa Erzurum

From Wikipedia, the free encyclopedia

Mkoa wa Erzurum
Remove ads

Erzurum ni jina la mkoa uliopo mjini Mashariki mwa kanda ya Anatolia huko nchini Uturuki. Umepakana na baadhi ya mikoa kama vile Kars na Ağrı kwa upande wa mashariki, Muş na Bingöl kwa upande wa kusini, Erzincan na Bayburt kwa upande wa magharibi, Rize na Artvin kwa upande wa kaskazini na Ardahan kwa upande wa kaskazini-mashariki mwa nchi. Mji mkuu wake ni Erzurum.

Ukweli wa haraka Maeneo ya Mkoa wa Erzurum nchini Uturuki, Maelezo ...
Remove ads

Wilaya za mkoani hap

Mkoa wa Erzurum umegawanyika katika wilaya 19 (mji mkuu umekoozeshwa):

Viungo vya Nje

Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Erzurum kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads