Mkoa wa Shebelle wa Kati

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Mkoa wa Shebelle wa Kati (Kisomali: Shabeellaha Dhexe[1], pronunciation ? Kiarabu: شبيلي الوسطى, Kiitalia: Medio Scebeli) ni mkoa wa kiutawala (gobol) kusini mwa Somalia.[2]

Malezo ya jumla

Umepakana na mikoa kama Galguduud, Hiran, Shabelle wa Chini (Shabellaha Hoose), na Banaadir, pamoja na Bahari ya Somalia.

Kama sehemu ya zamani ya mkoa wa Benadir, Middle Shabelle ulikuwa mji mkuu wa Mogadishu mpaka katikati ya mwaka-1980s, ambapo mji wa Jowhar ulipokuwa mji mkuu. Jina limetokana na mto unaojulikana kwa jina la Mto Shebelle uliokuwa ukipita katika mkoa huu.

Middle Shabelle kimsingi inakaliwa na koo ndogondogo za Wasomali Mudulood; haswa unaojulikana ni Abgaal. Pia  koo ndogo ndogo zinazo kaa katika mkoa huu ni Pamoja na Udeejeen, Moobleen na Hiilebi, ambao wanaishi kando ya Galje'l na Hawadle.[3] Pia kuna wanachama wa kabila zisizo za Kisomalia Bantu kama kundi la (Kaboole).

Mkoa huu unasaidia ufugaji na uzalishaji wa mifugo, mvua na mvuto wa umwagiliaji kilimo na uvuvi, na mvua ya kila mwaka ni 150 hadi 500 milimita ikifunika eneo lenye takriban  kilomita za mraba 60,000. Pia ina 400km pwani ya bahari ya hindi.[4]

Remove ads

Wilaya

Middle Shabelle ina jumla ya wilaya saba:[5]

  • Wilaya ya Adale
  • Wilaya ya Adan Yabal
  • wilaya ya Balad
  • Wilaya ya Jowhar
  • Wilaya ya Mahaday
  • Wilaya ya Warsheikh
  • Wilaya ya Runirgod

Miji mikubwa

  • BuuloCaano
  • Golloleey
  • War-ciise
  • War-kulan
  • Baka-jeex
  • Doonshuule
  • War-dhagax
  • Aqab-duco
  • Qallimow
  • Adale
  • Aadan-yabaal
  • Balad
  • Jowhar
  • Warsheikh
  • Mahadaay
  • Run-nirgood
  • Raaga-ceele
  • Haji-cali
  • Mir taqwo
  • Cad-cadoy
  • Ceel-baraf
  • Ceel-dheere
  • Cali-gaduud
  • Ceel Muluq
  • Faqa-yaale
  • Boos Hareri
  • Boos Caduur
  • Baqdaad
  • Bur-dacaar
  • Geel-gub
  • AL-kowsar
  • Qoordheere
  • Baarmaale
  • Jameeco
  • Nurdugle
  • Wararahley
  • Reydabley

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads