Modesti wa Karthago
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Modesti wa Karthago (alifariki 160) ni kati ya Wakristo wa mji huo wa Tunisia ya leo waliouawa kwa ajili ya imani yao.
Kwa kuwa hayajulikani mengine kuhusu historia yake, haorodheshwi tena na Martyrologium Romanum.
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 12 Februari[1].
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads