Moluag

From Wikipedia, the free encyclopedia

Moluag
Remove ads

Moluag (pia: Lua, Luan, Luanus, Lugaidh, Moloag, Molluog, Molua, Murlach, Malew, Lugidus, Lugidius, Lugadius, Lugacius, Luanus; takriban 510592) alikuwa mmonaki na padri kutoka nchi ya Eire alikwenda kuinjilisha Uskoti hadi kifo chake.[1]

Thumb
Mt. Moluag katika dirisha la kioo cha rangi.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe 25 Juni[2].

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads